Karibu upate huduma ya Automatic gate motor. Hiki ni kifaa maalumu kinachofunga na kufungua geti kwa remote au simu.
Inakua na battery kwaajili ya kuhifadhi umeme endapo ikitokea dharula umeme umekatika itaendelea kufanya kazi.
Gharama yake ni 1,750,000/= tu vifaa pamoja na ufundi...
Haina shida, kwakua mchakato mzima utafanyika online nadhani hata ukiwa Lebanon bado unawezashiriki vizuri pamoja na watu wengine kutokea popote ambao watapenda kua sehemu ya mpango huu
hahahah wewe usijitoe hapo kumbuka ndio uliebeba wazo( maono hayo) unatakiwa kua msatri wa mbele coordinate huu mpango na kuusimamia mwanzo mwisho tushirikiane
Haina shida lakini nadhani nahitaji wadau wenye nia na dhamira ya dhati kushirikiana nao kuendesha website iyo, ili ikishatengenezwa kuwe na mwendelezo wa watu wenye mawazo na fikra chanya za kuelimisha watu kupitia makala zitakazoandaliwa.
Nadhani kuna haja ya kuelimisha jamii yetu na vizazi vijavyo kujitambua na kuelewa umuhimu wa muungano Africa huenda siku za mbeleni mabadiliko yakatokea hata kama sio kizazi chetu cha sasa lakini watoto au wajukuu zetu watafaidika na muungano huu
Ni wazo zuri sana na sio mara ya kwanza kulisikia nakumbuka hara Marehemu Bob Marley Aliimba Africa Unite. Tatizo ninaloliona mimi ambalo ndio kikwazo cha kuungana Africa ni uchu wa madaraka kwa wengi wa viongozi wetu, kama wote wangekubali kukaa chini na kuweka makubaliano mazuri na mifumo...
Je Unahitaji Logo kwa mahitaji ya Kampuni, Shule, Taasisi au Biashara yako? Tunadesign Logo kaika ubora wa kipekee kwa gharama nafuu kuazia 40,000. Wasiliana nasi kwa simu namba
0656917171 au 0756917171.
Tembelea website yetu kuona baadhi ya kazi zetu
Kwa mahitaji ya huduma za grapgics, website design na Video shooting wasiliana nasi
Simu: 0656917171
website: www.believetech.co.tz
Tazama baadhi ya kazi zetu kwenye website yetu na usisite kutupigia tushauriane nawe kulingana na mahitaji yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.