Natafuta Kazi ya udereva wa magari makubwa (heavy truck) ugaibuni.
Ukiniuliza kazi ninayoipenda na kuifurahia, basi ni Kazi ya kuendesha lori, lakini kwangu ni kama kumpenda mtu asiye kupenda kutokana na sababu zakimaslahi hapa kwetu.
Tafadhali kwa mtu yeyote anayeweza kunisaidia asisite...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.