Recent content by time will tell

  1. T

    Mwenyekiti wa CHADEMA - London aenguliwa wadhifa

    Huyo mwenyekiti aliyetemwa si alikuwaga polisi bongo akatemwa kwa ajili ya madili na majambazi? CDM walimuokotea wapi huyu mwizi?
  2. T

    Mh. Ndesamburo awasili UK kuhutubia mkutano wa Chadema Milton Keynes !

    Moto tumeshauwasha ni vigumu kuuzima bure mwajisumbua Magamba mtakoma.
  3. T

    CHADEMA kuimaliza CCM Europe, Chris Lukosi kuanzisha 'Vua gamba vaa gwanda' ugaibuni

    Nyie subirini kichapo, hivi ulitegemea watu wahuthurie kama wale wa Kilombero? mikakati ndiyo inaanza mtalonga sana
  4. T

    Chris Lukosi wa CHADEMA VS Suzan Mzee wa CCM...

    Moto tumeshauwasha nivigumu kuuzima , bure mwajisumbua magamba mtakomaaaaaaa!!!!!!
  5. T

    M4C: Lema aelekea Ujerumani

    Unaharibu hadhi ya JF, hao mafisadi wanaopora mali za nchi yetu wapo chama gani? wapi bora kati yao na madrug dealers?
  6. T

    M4C: Lema aelekea Ujerumani

    Nafikiri wamegundua mchango wa Watanzania wenzetu walio nje unahitajika pia.
  7. T

    Mzee Makamba aibua siri ya Urais 2015

    Hahahaaaa!!! ati Chagua la Mungu , limegeuka limekuwa chaguo la .........
  8. T

    M4C: Lema aelekea Ujerumani

    Ulitaka akwapue benki kuu?
  9. T

    M4C: Lema aelekea Ujerumani

    Jua lwako ya cdm yanakuhusu nini? kila timu ina strategies zake za ushindi.
  10. T

    Kamanda Godbless Lema na wanachama na viongozi wapya wa chadema London.

    Inaonekana Magamba roho zinawauma cdm kufungua tawi London na mbado!
  11. T

    Mwenyekiti wa CHADEMA - London kachaguliwa kwa kigezo gani?

    Duh!!! kazi ipo kweli kuelimisha jamii. nchi nyingine raia wao wanapiga kura japokuwa hawapo inchini mwao je hawareflect jamii yao? Hivi unaweza kusema hivyo kweli kipindi hichi cha utandawazi?
  12. T

    Diversity in Tanzania: Where are the Asian, Arab, European-Tanzanians?

    Diversity in tanzania????? How about lesbian, gay, bisexual and transgender? Disables?? Hahahaaaaa!!!!!!!!!
  13. T

    Picha: Ni kweli na shibuda hamtambui kikwete hii ilikua jana kwenye mnuso wa wabunge

    Sherehe ilkuwa ni ya kupongeza wabunge , haihusiani na hotuba ya Raisi bungeni. Shibuda pia alikwenda kuwaringishia CCM kwamba pamoja na kunichakachua kwenye kura za maoni na kutaka kunimaliza kisiasa bado nipo mjengoni.
  14. T

    Elections 2010 Angalizo kali kwa Watanzania wote mara baada ya jk kutangazwa rais.

    Mungu ! Mungu, Sitaki kueleweka vibaya lakini msitegemee Mungu ndiyo ataleta mabadiliko bila kuyapigania.
Back
Top Bottom