Recent content by Tim Njuguna

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

  2. T

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Unfortunately uyoga(mushrooms) hayakuzwi kwa greenhouse. The required environment for mushrooms is a dark room that has very high levels of humidity. The greenhouse has the opposite effect. Asante Ndugu kwa swali lako
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Ubora wa greenhouse ni kwamba kilimi chake hakitegemei msimu. Bora tu una maji karibu, unaweza kupanda vyakula vyako January, Mei, Augut, Disemba.....haijalishi. Hilo lina maan kwamba unaweza kuepukana na usumbufu wa soko kwa ku-time mavuno yako yaanze wakati ambao wakulima wanaotegemea mvua...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Kwa kawaida polythene covering inyofaa sehemu hizi na ambayo tunaitumia sisi ni kama ifuatayo: Polyhtene additives include: UV+IR+AB+LD+EVA+SR Thickness:200mic - this ensures optimum rates of emissivity for common vegetables (anything above this is too high resistance for vegetable families)...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    You will be surprised by the number of local farmers who are producing for the export market in Kenya. However, even without looking at the export market (you need serious volumes for you to be a serious player in the export market), there is a lot of demand for tomatoes, hohos, cucumber...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Kaka, kwa greenhouse ambayo imejengwa kwa small scale farming hauhitajiki kuwa na umeme ili kucontrol hali ya joto. Kulingana na mahali unapotaka kulima, tunajenga greenhouse ambazo kwa sides ziko na ventilation 70%. Hii inahakikisha kwamba kuna flow ya hewa from one side to the other, na...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    Ile 5million ni ya materials na mbegu na kujengewa. Sehemu ya Mbinga utalipia gharama ya usafirishaji wa materials kwa basi. Kisha wale engineers wakija pale kwako tunakuhisi uwashughulikie malazi na chakula. Kazi ya kujenga inachukua siku 4-5
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    There is a doubting Thomas for everything on earth. Na ukitafuta sababu ya kutofanya jambo talikosa. Ningependa kukukaribisha kwangu shambani eneo la Nairobi ukaone production ya kila wiki kisha upate imani. 20tons in a year with proper management and with following agronomy instructions is...
Back
Top Bottom