Recent content by tiego

  1. T

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa maombi Postgraduate UDOM una shida gani? UDOM rekebisheni huo mfumo

    Wadau natanguliza shukrani zangu za awali. Najaribu kuapply postgraduate UDOM cha ajabu system hairespond kabisa na hapo deadline ni 30th August. Unapiga help desk hawapatikani na wachache wanaopatikana hawapokei. Aliyewahi kukutana na chagamoto hii alifanyaje. PS UDOM nao wapunguze maringo...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Course gani za masters zina maslahi kwa mtu aliyesoma BSc. Ed

    Chemistry and Biology
  3. T

    JamiiForums Tanzania Course gani za masters zina maslahi kwa mtu aliyesoma BSc. Ed

    Wakuu mimi nimesoma bachelor of science with education, nina gpa ya 4.4 na kwa sasa niko mtaani nina duka la cosmetics. Sasa wazazi wamenipa shavu kuwa niende masters nikajiendeleze wakati nafanya biashara zangu huku wakitafsiri kwamba ajira ya serikali itanikuta nikiwa kwenye haya mambo...
Back
Top Bottom