Recent content by Tido

  1. T

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Mimi wananiambia namba ya form four imesha tumika ila kwenye email hakuna kitu sijatumiwa chochote Alie pita hapo msaada tafadhali
  2. T

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Mbona diploma ya ualimu secondary kwenye course selection ni utata Alie pita hapo atusaidie jamani tumekwama
  3. T

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Mimi mwenyewe nimekwamia kwenye course select ukiandika course haidisplay ujaze year of completed shida ni nini wakuu
  4. T

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Alie pita hapo atusaidie jamani
  5. T

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Japo kwenye kozi mbona najaza hapasongi mbelee
Back
Top Bottom