Kwanza nikupe pole mkuu, Jamani, ninavyofahamu mimi, Benki ya CRDB imekuwa mstari wa mbele kuwahudumia wateja wake na wanauwezo mkubwa kuhandle suala kama lako kulikoni kuchafuliwa image yao.
Hakuna asiyetambua umahili wao katika kutatua kero za wateja, Hivi sasa ni kitu cha kawaida gadgets...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.