Habari wakuu,
Kabla ya kununua hisa za kampuni yoyote, ni muhimu kufanya uchambuzi wa kutosha ili kuelewa kama kampuni hiyo ina uwezo wa kukua na kutoa thamani kwa wawekezaji.
Wawekezaji wengi huangalia bei ya hisa pekee, lakini mwekezaji mwenye uelewa huanza kwa kujiuliza: “Kampuni hii ina...
Habari wakuu,
Kumekuwa na mwamko mkubwa wa uwekezaji nchini, ambapo watu wengi wameanza kuwekeza kwenye Hisa (Shares) na Hatifungani (Bonds). Hata hivyo, bado kuna maswali mengi kuhusu tofauti zake, faida, hatari zinazoweza kujitokeza, na namna ya kufanya maamuzi sahihi ya uwekezaji. Kupitia...
Habari ndugu kawombe: ofisi zetu zipo
Building number 3, Mlimani City, Dar es Salaam, Tanzania
tunapatikana kwenye namba ya simu: 0754 232 035
jiunge na group letu la whatsapp: TIB RASILIMALI LIMITED
Fuatilia page yetu ya mitandao ya kijamii kupata updates za soko:
1. Linkedin TIB Rasilimali...
Unafikiria kuwekeza kwenye Hatifungani ya Serikali Tanzania?
Mnada mpya wa Treasury Bond ya miaka 25 unatarajiwa kufanyika tarehe 24 Juni 2026. Hatifungani hii ina kiwango cha riba cha 13.25% kwa mwaka, na kiwango cha chini cha kushiriki ni TZS 1,000,000.
Hii ni fursa kwa wawekezaji...
Unawekeza kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam, DSE?
Hii hapa ndiyo ratiba ya magawio yanayotarajiwa kulipwa kwa wanahisa wa kampuni zilizoorodheshwa DSE.
24 Juni 2026
• NMB Bank: TZS 610.15 kwa kila hisa
30 Juni 2026
• Twiga Cement: TZS 300 kwa kila hisa
• DSE: TZS 69 kwa kila hisa, gawio la...
Uwekezaji katika Soko la Hisa la Dar es Salaam unahitaji mwongozo sahihi, akaunti rasmi ya uwekezaji, na dalali mwenye leseni. Dalali ndiye kiungo kati ya mwekezaji na soko. Kupitia dalali, unaweza kununua na kuuza hisa, kuwekeza kwenye hatifungani za Serikali, kupata taarifa za soko, na kupata...
Katika hatua inayoweza kubadilisha kabisa mwonekano wa hisa za NMB kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Bodi ya Wakurugenzi wa NMB Bank Plc imependekeza mgawanyo wa hisa (Share Split) wa uwiano wa 1:10, ambapo hisa moja ya kawaida itagawanywa kuwa hisa 10 za kawaida.
Pendekezo hilo...
Hongera sana, hakikisha sasa umehakiki taarifa zako ili kupata gawio lka Haraka. ili kutambua namna gani ya uhakika jiunge na webinar yetu wiki hii tukiwa na mkufunzi kutoka CSDR kam opuni tanzu ya DSE inayofanya kazi ya kutoa magawio kwa niaba ya makampuni yaliyoorodheshwa. ili usi pitwa na...
Masoko ya hisa Tanzania yanaendelea kukua na kutoa fursa mpya kwa wawekezaji wa rejareja na taasisi. Zamani, watu wengi walizoea kuwekeza moja kwa moja kwenye hisa za kampuni kama CRDB, NMB, Vodacom, TBL, TCC, DSE, TPCC na kampuni nyingine zilizoorodheshwa kwenye Dar es Salaam Stock Exchange...
Mkombozi Commercial Bank Plc imetangaza gawio la TZS 100 kwa kila hisa kwa wanahisa wake kwa mwaka wa fedha ulioishia tarehe 31 Desemba 2025.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kampuni, gawio hili limeidhinishwa na Bodi ya Wakurugenzi, na wanahisa wanapaswa kuzingatia tarehe muhimu...
1. Utangulizi
Hisa Kiganjani ni mfumo wa kidijitali wa Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) unaomwezesha mwananchi kuwekeza katika masoko ya mitaji kwa kutumia simu ya mkononi, kompyuta au huduma ya USSD. Kupitia mfumo huu, mwekezaji anaweza kufungua akaunti ya CDS, kufuatilia uwekezaji wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.