Recent content by Thureya khamis

  1. Thureya khamis

    SoC04 Ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi

    Asante kwa kupendezwa na mada yang
  2. Thureya khamis

    SoC04 Ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi

    Asanteh kwa kuipenda mada yng natumai umejifunza vingi vizuri ☺️
  3. Thureya khamis

    SoC04 Ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi

    Hakika mada ni mzuri na tukifanyia kazi yote nilozungumza bas tutapt matokeo mazr na ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi utaongezeka na maendeleo yataongezeka katika Jamii na nchi.
  4. Thureya khamis

    SoC04 Ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi

    Hakika dear, Nashukuru kwamba umefurahishwa na andiko langu makala ni mzuri katika kuchochea maendeleo natumai utaweza kushare kwa wengine Ili pia wapate kujifunza kupitia makala hii
  5. Thureya khamis

    SoC04 Ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi

    Ndio katika sera hizo ni lazima haki itizamwe kwani bila ya kuwepo kwa haki na usawa itakuwa hakn sera imara hivyo ni wajibu kuangalia sera zote zinafuata usawa na haki
  6. Thureya khamis

    SoC04 Ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi

    Ndio kupitia makala hii wanawake wengi wataweza kupata muamko na kuwa majasiri kwenye masuala ya uongozi
  7. Thureya khamis

    SoC04 Ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi

    Utangulizi Siasa ni mchakato wa kufanya maamuzi na kuunda sera ambazo zinahusisha utawala na usimamizi wa jamii. Hujumuisha shughuli kama vile uchaguzi, utoaji wa sera, na ushiriki wa wananchi katika mchakato wa maamuzi. Uongozi ni uwezo wa kuongoza na kusimamia watu au jamii kuelekea kufikia...
  8. Thureya khamis

    SoC04 Migahawa na usalama wa afya za walaji. Je, tupo hatarini? Na kipi kifanyike kumaliza janga hili

    Kila mtu anahaki na wajibu ya kulinda chakula kuwa safi na kuhakikisha chakula ni salama kwa mtumiaji. Hakika wazo zuri sana natumai yakifanyia kazi haya bas madhara na maradhi yatapungua kwa kiasi kikubwa sana. hongera kwa Kaz mzr
Back
Top Bottom