Hapana, sikubaliani na @waterdeenullo,kama unakumbuka cheka pambano lilopita alibebwa na majaji kwa kusema ameshinda kwa point moja wkt hali halis tulohudhuria kwny pambano tuliyona, na hata pambano cjui km huo mchezo haujafanyka man sikuhudhuria, ngoja nijaribu kufuatilia vyanzo vyangu vya hbr...