6. Kuzidisha dozi (Overdose): Kutumia dawa nyingi kuliko kiwango kinachotakiwa kunaweza kusababisha sumu na hata kifo.
7. Kuficha dalili za ugonjwa: Dawa zinaweza kupunguza dalili bila kutibu chanzo cha ugonjwa, hivyo kuchelewesha utambuzi sahihi.
8. Matatizo ya mfumo wa chakula: Baadhi ya dawa...
Athari za matumizi holela ya dawa
1. Usugu wa vimelea dhidi ya dawa (Antimicrobial resistance): Bakteria wanakuwa sugu dhidi ya antibiotics, hivyo dawa kushindwa kutibu maambukizi.
2. Kuharibika kwa ini (Liver damage): Matumizi yasiyo sahihi ya dawa kama Paracetamol yanaweza kusababisha...
ATHARI ZA MATUMIZI HOLELA YA DAWA (RATIONAL USE OF MEDICINES)
Matumizi holela ya dawa ni hali ya kutumia dawa bila kufuata ushauri wa mtaalamu wa afya, kutumia dawa zisizofaa kwa ugonjwa, kutumia dozi isiyo sahihi au kuacha dawa kabla ya muda uliopangwa.
Ni tatizo kubwa linaloweza kuathiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.