Suala la msing hapa ni kwamba lazima utambue wengi wanaotumia net kwa wingi mara nyingi wapo consious na wanafahamu what going on in this country pia ndio wanaotoa maoni yao kweny jf,
sasa hi kamwe hawezi ku reflect ukweli halisi sababu idadi kubwa ya watanzania hawafahamu suala la kutoa maoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.