Recent content by thomas300

  1. T

    Uthubutu: Kiwanda cha JF members

    kwa wale waliokuwa interested wanaendelea na discussions on how make an idea great and this coming weekend are meeting for the first time..all is good ahead
  2. T

    Uthubutu: Kiwanda cha JF members

    Uzuri wa wazo usiishie kusifia tu,wadau tulifate kwenye group kulitengeneza na kulipa uhai kutekelezeka
  3. T

    Uthubutu: Kiwanda cha JF members

    Ni jukumu letu 45 kuhakikisha hakuna linalotokea kwa kuja na mbinu za kuzuia hilo lisitokee..kukiwa na nia ya kweli hakuna baya la kutokea
  4. T

    Ukweli kuhusu bilioni nane za Jokate

    Kilichotokea katika hili ni ameingia mkataba na mchina huyu kama mwekezaji ambapo ni uwekezaji wenye thamani ya 8bn. Katika uwekezaji huo kitajengwa kiwanda kitakachokuwa kinazalisha bidhaa zinazosambazwa na kampuni yake ya Kidoti.
  5. T

    Uthubutu: Kiwanda cha JF members

    ladyfurahia katika hili hamna haja ya members kutoka mkoa mmoja, watoke mkoa wowote kwani kwenye nia lolote linawezekana
  6. T

    Uthubutu: Kiwanda cha JF members

    Kuna wengi wana wasiwasi na utapeli..ila jambo la kutilia maanani ni kwamba members ndio tutakaokuwa na jukumu la kuzuia hili,kila mmoja atapewa jukumu. Haya yote yatatekelezwa baada ya kufahamiana na kukutana..hili jambo ni kubwa kukulikeleza kwa kutumia mitandao
  7. T

    Uthubutu: Kiwanda cha JF members

    Sio mbaya kujadiliana hapa hapa na pale mtu anaeona ameridhika anachukua maamuzi ya kujiunga.
  8. T

    Uthubutu: Kiwanda cha JF members

    Wi_Fi na Everlenk jambo hili vision na the way foward haliwezi amuliwa na kupangwa na mtu mmoja, hao 45 ndio watakaopanga yote ili kuanzia siku ya kwanza inaitajika wote tuwe kwenye page moja..nimesema 45 kwakuwa limited company mwisho 50,jambo ambalo members wakitaka zaidi litafanyika
  9. T

    Uthubutu: Kiwanda cha JF members

    Katika jukwaa hili nimeona na kujifunza mengi..kitu ambacho naona na ambacho kipi kwa wengi sio hapa JF tu ni uthubutu. Nchi zilizoendelea zimefika huko kwa watu wao kuwa na uthubutu, uthubutu wa kufanya kitu tofauti ambacho anaamini kitamtoa lakini hajiamini. Vijana wengi wanaamini bila hela...
Back
Top Bottom