SEHEMU YA PILI
MIKAKATI YA KUKUZA BIASHARA
Biashara yoyote yenye afya hupimwa kwa viwango vya ukuaji na unahitaji kujumuisha mikakati ifuatayo ili kuhakikisha kuwa biashara yako inakua;
Ongeza thamani; kudumisha thamani ya bidhaa na huduma, wateja wataendelea kununua bidhaa na huduma zako...
SEHEMU YA KWANZA
SURA YA KWANZA
ANZISHA, SIMAMIA NA KUENDELEZA BIASHARA YAKO
MAANA YA BIASHARA
Biashara; Ni shughuli yoyote inayofanywa kwa makusudi ya kupata faida, inaweza kuwa uuzaji wa bidhaa, au uuzaji wa huduma. Mfano wa bidhaa ni kama magari, simu, nguo, vyakula, nk huduma; ni kama...
mtaji wa kwanza ni elimu juu ya fedha maana unaweza kupata fedha alafu bado ukashindwa kutoka kimaisha vile vile. you better invest in education first and the money will be following the course
UTANGULIZI
Kutokana na kukua kwa tatizo kubwa la ajira miongoni mwa vijana na familia nyingi duniani, imepelekea watu kuchanganyikiwa ni nini cha kufanya. Watu wote siku hizi wanahaha kutafuta ajira ambayo imekua adimu sana na hivyo kuwafanya watu ambao akili zao na mawazo yao yameelekezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.