Habari wana jamiiForums, naitwa Thom nimekuja mbele ya jukwaa hili kuelezea ufanisi na mapungufu yanayojitokeza ikiwa Mbunge wa jimbo flani nchini kwetu Tanzania wakati huo pia akateuliwa kuwa waziri wa wizara flani.
Tunajua kuwa wabunge wana chaguliwa na Wananchi kwenye majimbo mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.