Asante ndg Soli ya kiatu kwa kuliona hilo ufafanuzi ni kwamba muda ulikuwa asubuhi majira ya saa moja,vyeo vyao ni makonstable na sheria walizotumia ni PGO NA PFSR(POLICE FORCE SERVICE REGULATION OF 1995).
Kimsingi nilikuwa naangalia baadhi ya watu uwezo wao wa kufikiri lkn nikaona nitoe kisa cha ainahiyo ambacho hakina ukweli lkn ni mambo ambayo yapo bali nimegundua baadhi ya waliochangia uwezo wa kisheria ni mdogo udhani nilipo uliza mm ni polisi au nimepatwa na mkasa huo lkn unaweza ukakutana...
Kukutajia pcd wa wapi bado sio msaada kwangu na uliesema wanamakosa kwa kupekua bila warrant nikuulize kuna aina ngapi za search kama sikosei zipo mbili with warrant and without warrant and without warrant it is an emmergency search it can be conducted even without warrant.Kwahiyo naomba ushauri...
Naomba kuuliza kuhusu uhalali wa askari hawa kufukuzwa kazi kama ilikuwa sawa kwa maelezo haya;ilikuwa ni siku ya jumamosi askari polisi wawili walipata taarifa kwamba kunamtu mmoja alikuwa na meno ya tembo askari wale walikwenda wao wawili wakamuita muhusika wakamwambia sisi ni askari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.