Tunapendakuwatangazia wanachama wote wa tawi la Nshupu popote walipo kufika kesho karibu na Ofisi za kata zamani kwa ajili ya uzinduzi wa ofisi ya chama ya kijiji ni tukio mmuhimu sana fiak wewe pamoja na wenzeko Pia kutakuwa na zoezi la chaadema ni msingi kwa kuandikisha wanachama wa kijiji...
Wana JF,
Napenda kusema kuwa chadema kuarisha kufanya uchaguZi ni kwaajili ya CCM au chama kilikubalia kialali kwa vikao halali nakubali kabisa.kingine kamanda makene wafundishe hawa bavicha jinsi ya kudema nini na kwa jinsi gani kwenye mitando coz watu wanaongea bila kujua mipaka na nini...
Yaani we jamaa hivi ungekuwa mahali kama Manzese hivi ungekuwa unajua hata kusoma wewe coz akili zako sijui zikojee hv huyu jamaa anakazi gani chadema chadema chadema unajua maana yakuwa huku JF
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.