Recent content by Themoneyhollic

  1. Themoneyhollic

    AI Iliyogunduliwa na waTanzania, Ai ya kitochi yashindanishwa Google Ai for developers

    Habari Tanzania project yetu ya NotiAi imependekezwa kwenye mashindano ya Google GeminiAPI -NotiAi ni AI inamuwezesha hata mtu asokua na internet kuAccess AI kwa SMS tu Tupige kura Tuzo ije nyumbani Link: Vote.notiai.com 💣Usisahau kuweka number tukishinda kutakua na mkono wa shukrani
  2. Themoneyhollic

    Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

    Ifahamu ChatGPT Hello naimani umzima, naitwa Sucrose the Moneyhollic. Ni mtalaam wa mambo ya Technolojia, Nimeona nikupei hii fursa yakujadili tekinolojia mpya duniani iitwayo Artificial intelligence AI (ChatGPT3 na ChatGP4(latest one)) ambayo imewapatia Watu mabilioni ya pesa walioifahamu...
Back
Top Bottom