Recent content by thelostnuts

  1. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu nifanyeje niweze kurudisha umbo langu la zamani

    Asante sana, sasa hivi nimeanza kuyafurahia
  2. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu nifanyeje niweze kurudisha umbo langu la zamani

    Sijawahi kutumia maisha yangu yote
  3. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu nifanyeje niweze kurudisha umbo langu la zamani

    Haya mabadiliko yameniijia ghafla ndo maana nashangaa[emoji1] [emoji1] , Lakini haina jinsi na Mimi nimeona kabisa naukaribia uzeee inabidi nikubaliane na hali
  4. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu nifanyeje niweze kurudisha umbo langu la zamani

    Nilipakua hii app nikavamia zoezi kwa siku ya kwanza mbona kesho yake ilikuwa hata kunyanyua mkono mmoja tu shida,mwili wote ulikuwa unaumwa kama nini, ila nashukuru nimeanza kuyazoea kidogo kidogo
  5. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu nifanyeje niweze kurudisha umbo langu la zamani

    Sikufunga kwani lilikuwa linauma sana
  6. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu nifanyeje niweze kurudisha umbo langu la zamani

    Umenipa moyo kumbe inawezekana kabisa, nitaanza diet, mazoezi, na kula vyakula pendekezwa nadhan nami nitafanikiwa, shukrani
  7. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu nifanyeje niweze kurudisha umbo langu la zamani

    Mmmh, siwezi kufanya hicho unachotaka
  8. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu nifanyeje niweze kurudisha umbo langu la zamani

    Sawa lakini si kubweteka tu natakiwa kujishughulisha angalau ili hali isiwe mbaya zaidi
  9. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu nifanyeje niweze kurudisha umbo langu la zamani

    Nashukuru kwa Uzi huu Nina imani utanisaidia sana
Back
Top Bottom