Recent content by TheGodFather

  1. TheGodFather

    JamiiForums Tanzania Mtu gani uliwahi kukutana naye mara moja tu hujakutana naye tena mpaka leo unatamani umuone kwa mara nyingine

    Nakumbuka jina lake aliitwa Doreen Mickson. Nilikutana nae 2006,nikiwa naelekea shule Same secondary kutoka Moshi. Yeye alikuwa katokea Arusha anaenda shule pia. Nakumbuka tulikaa siti moja,yeye upande wa dirishani. Alikuwa amevaa hood la kijivu [emoji3526] hvo mwanzoni sikumuona fresh. Basi...
Back
Top Bottom