Recent content by thegalaxy

  1. thegalaxy

    Unaota kwasababu ukilala nafsi yako hubeba siri,na taarifa zako zote kuzipeleka ulimwengu wa kiroho

    Ndiyo kuna watu wana nguvu zaidi ya kimaono na kiroho kuliko wengine...
  2. thegalaxy

    Unaota kwasababu ukilala nafsi yako hubeba siri,na taarifa zako zote kuzipeleka ulimwengu wa kiroho

    Mara zote ndoto huongea ukweli kwasababu ndoto,ni taarifa inayotokea katika ulimwengu usio na maamuzi ya kibinadamu...na ulimwengu huo huwa hausemi uwongo. Ndoto huwa inaonekana ya uongo kwasababu, aliyeitafsiri ameitafsiri tofauti na ukweli ulivyo...hivyo huonekana kama ni haikua na maana...
Back
Top Bottom