Recent content by Thee MF

  1. Thee MF

    Mfumo wa ajira nchini umeshindikana, bila connection hutoboi!

    Sijajua mfumo unaosemea ww ni upi ila kama ni hii niliyokutana nayo ya ku apply kwenye system kisha majina yaitwa mkafanye usahili wa face to face, huko ndio 'koneksheni' inapopata nafasi, nina mifano mingi tu maana sahili nyingi nilikwenda na watu ninao wafahamu kama classmates etc, and trust...
  2. Thee MF

    Mfumo wa ajira nchini umeshindikana, bila connection hutoboi!

    Mfumo wa Ajira Nchini kwetu umeshindikana kabisa hasa kwa tusio na Koneksheni kabisaa! Mfano: nimewahi kuitwa kwenye interview nyingi tu za serikalini ila zote zinafanywa kwa ushahidi tu ili wale wasahili walipwe kwa kupoteza muda wetu. Viongozi wanakazia eti vijana mjiajiri wanasahau kama...
Back
Top Bottom