Recent content by thebeliever

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

    its 2020..... Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

    thanks dear...hivi niwaulize watu wa mungu..bado kuna watu wanaamini unaweza kulogewa virusi vya ukimwi...kwa macho yangu nimekutana na familia moja..yani mtu anaumwa anakataa kwenda hospital,akalazimishwa akapelekwa kwa nguvu na akapimwa na kugundulika kuwa ni positive then ndugu waliompeleka...
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

    karibu sana...
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

    nimeshaelezea dear..soma kwenye post za juu
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

    okay...unapokua positive kuna idadi ya virus ambao uko nao..ndio maana wanakupa dawa ili kuwapunguza/kuwafifisha wanakua counted...ukiingia ndani sana wanasema unaweza ukawa na virus ambao ni jinsia moja kama ni male or female so mfano ukiwa nao wote means watakua wanazaliana...but ukiwa nao wa...
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

    thank you
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

    hapana...
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

    mi sio mtaalam sana..labda madoctor mtusaidie inakuaje hii vipimo vinakua fake ama nini nini haswa?
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

    karibu
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

    pole..hii ndio dunia
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

    wapo humu wengine ..walikuja nilipowatosa wanabadili tu account..sasa mtu atabadili account ngapi kuweni na amani mim once am done...imekwisha..ninaplatform nyingi ambazo hata hao watu wapo na ninawaona mishe mishe zao but once ninapokua huko i do my business..na ni wachangiaji wazuri...
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

    yes...mimi ni mfano hai...my viro load are undetected..kiasi kwamba nilipima juzi kazi dispensary wakaniambia sina virusi...nikachukua majibu huku nacheka...nadhani na kipimo chao kilikua kibovu..ndio maana wanasema test 3 times...if nimeenda na mtu si anajua niko okay...complicated
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

    hauwezi kuelewa...jaribu kuvaa viatu vyangu
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

    asante..barikiwa sana
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

    wadau..nikitaka kuelezea kila kitu sitafanya hata kazi zingine...najua wengine wanakejeli ila najua wapo wanaojifunza..niko kwa ajili ya kuwaelimisha wanaohitaji kujifunza kuhusu HIV..Kuna mdau anauliza ilikuaje nikaambukizwa na mama wa kambo...ni hivi nilianza kulelewa na mama wa kambo nikiwa...
Back
Top Bottom