Mwana Kijiji
Maswali yako mazuri LAKINI baya zaidi nui pale unapompiga marufuku asikanyage hat mitaani. Hela zake umzime na marufuku ya kukudai umpe. Huu ni ubabe uliopitiliza mipaka. Kama ni kuwafungulia mashtaka ya uhujumu uchumi wasaliti basi orodha ni ndefu. Tutaje baadhi:
1. Baba wa taifa...
Askofu alisema wazi kuwa Mwalimu aliulizwa tukio lililomuudhi na lililomfurahisha. Mwalimu akataja maasi ya jeshi. Mimi naona Askofu hajakosea popote kwa sababu iwe ni waingereza au WaNigeria kama wanavyosema wengine, ukweli unabaki kuwa jeshi letu lilikataa amri ya rais na kutii amri ya mgeni...
Mkuu wa Mkoa wa DSM kaz indua operesheni maalum ya kuwaondoa wahamiaji haramu ndani ya "Mkoa wake". Inaitwa "PEKENYUA TUKUFUKUNYUE". Ni vema tukajikumbusha bila ufafanuzi operesheni na hatua mbalimbali za makonda tangu ateuliwe kuwa Mkuu wa Mkoa wake wa DSM.
1. Kumshtaki hadharani Mkurugenzi wa...
Watu wasiojua historia ya utawala hapa Tanzania, utawasikia wakisema kuwa awamu hii ya tano imezidi kwa kufukua makaburi ya Jakaya Kikwete na kumdhalilisha. Lakini kihistoria, kila awamu ilifanya hivyo na kwa hiyo hata hii ijiandae kufukuliwa makaburi yake.
Tujikumbushe kwa ufupi:
Awamu ya...
Sasa hapa umemsaIDIA JPM au ndo umethibitisha anayosema Ngurumo? Kwa sababu haya anayosema Ngurumo, kama hawezi kuyasemea hapa ina maana kweli JPM ni dikteta na ndiyo maana "anatengeneza tatizo na kisha analitatua mwenyewe".
Nadhani ni vema tukaorodhesha makosa ya Kangi ili tuone hata sisi kama inafikia kiwango cha yeye kujiondoa au kuondolewa. Mfano nianze:
-Kuingilia kazi za IGP kwa kufukuza makamanda na kuhamisha makamanda
-Kumdhalilisha CAG ambaye kikatiba ni jicho la bunge, jicho la wananchi na mdhibiti wa mali...
Mbwembwe nimepitia post ya huyo Askofu wako sijaona aliposema Jeshi si la wananchi. Mbona alikuwa ananukuu maneno ya mwalimu kwenye kumbukizi lake? tusipotoshane. post ya Askofu inamhusu mwalimu aihusiani na jeshi.
Joka Kuu nadhani hata mimi nakuunga mkono.
Huyu anapotosha hoja ya Askofu. Nimejaribu kumsoma Askofu na kumsoma huyu, sioni anapopotosha Askofo.
Tena mimi naona huyu ndiye anataka kuingiza mambo ambayo hayamo katika ujumbe wa Askofu.
Askofu ameandika kumbukizi la Mwalimu katika siku ya kuzaliwa...
Wewe Ecolizer ni mchochezi. Unachukua maneno mawili unayakuza ili kushibisha tamaa yako. Askofu amemkumbuka Mwalimu katika siku yake ya kuzaliwa, wewe unakimbilia kuchochea tu. Hata mimi nimefurahi kujifunza kitu katika kumbukizi hii nzuri. Inanifanya nimuelewe Baba wa Taifa kwa mapana zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.