Recent content by The Vulture

  1. T

    Toyota mark II gx 110 inahitajika

    Ipo Toyota Mark II GX 110 Limited ya 2004. Rangi peal, 1980CC, Odometer reading todate 106000. Haijawahi kupata ajali yoyote. Inatumika kwa safari fupi matumizi ya kawaida kifamilia,.engine haijawahi kuguswa na fundi zaidi ya kubadilisha oil. Body is well kept. Minimum price.is 10M only. Kwa...
  2. T

    Mbowe na Slaa, Viongozi wa Wilaya wanahujumu muungano wa UKAWA Musoma

    Nimesoma hii kitu moyo unaniuma sana, kama ni kweli, basi inasikitisha sana kuona kwamba bado tuna viongozi ambao mpaka sasa hawajui maudhui ya UKAWA. Kweli ni mbaya kuliko. Tunaomba viongozi wetu CDM ngazi za juu washughulikie hii issue kwa haraka ili kuendelea kutujengea imani juu ya UKAWA...
  3. T

    Piga kura ya NDIYO au HAPANA makubaliano ya UKAWA

    NDIYO, NDIYO, NDIYOOOOOOO, Nimeyapokea kwa shangwe saaaana MAKUBALIANO YA UKAWA.
  4. T

    Piga kura ya NDIYO au HAPANA makubaliano ya UKAWA

    NDIYO, NDIYO, NDIYOOOOOOO, Nimeyapokea kwa shangwe saaaana MAKUBALIANO YA UKAWA.
  5. T

    Piga kura ya NDIYO au HAPANA makubaliano ya UKAWA

    NDIYO, nimepokea kwa shagwe MAKUBALIANO YA UKAWA.
  6. T

    Hamtanifukuza kama akina Mwapamba, Mchange na Shonza halafu yakaishia hapo!! naijua katiba ya chama

    Ndugu una matatizo gani mbona unaturudisha nyuma tena, sisi tuko kwenye hatua nyingine ya kufanya mapinduzi ya kweli ila wewe wataka tuanze kufikiria matatizo. Tulia tumalize kumng'oa mkoloni halafu baadaye toa hoja zako. Kwa sasa tuko busy kwahiyo hatukuelewi kabisa....
Back
Top Bottom