Recent content by The Viewfinder

  1. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shelukindo afariki dunia

    let her rest in peace
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mbona Rais hajapiga marufuku siasa? Au kuna jingine?

    Kwan watanzania tulikuwa hatufanyi kaz wakat hizo siasa zikifanyika!!? me nadhani MTU ambaye anashughulika na siasa mda wote huenda hiyo ndio kaz yake!! mwalim nyerere alisema siasa na kazi!! akiwa na maana hivi Vitu havitengani!!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyemtusi Rais, Isaac Emily ahukumiwa jela miaka 3 au kulipa faini

    sasa hiyo faini atapewa nani!?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili Mwanza tayari kuongoza kikao cha Baraza Kuu

    kila LA kheri cdm...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Waanza Kuwasili Jijini Mwanza

    Ni vyema kama watampata karibu Mkuu wa chama sasa... kila LA kheri
  6. T

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif aiandikia barua ZEC, kujitoa rasmi kwenye uchaguzi wa Machi 20

    Naona ni sahihi maalim kutoshiriki huo uchaguzi
  7. T

    JamiiForums Tanzania UKAWA wamwandikia Spika kutaka kujua uhalali wa Rais JPM kuhutubia Bunge bila matokeo ya Zanzibar

    kwan maalim seif hajaalikwa kesho!!?
  8. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Nov 17, 2015: Job Ndugai achaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 11 la JMT

    kwa hiyo wale wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi siku hiyo wakija nao watapga kura kumchagua Speaker!!? Au watachukuliwa kama absentees!!?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Mimi ndio Rais wenu

    Hongera Maalim!! ila naona km ccm wanapoteza mda ili siku za kurudia uchaguzi zifike.... Sioni ni nani wa kumtangaza yy mshindi wakat uchaguzi Zec walishaufuta!! Nafikiri kwanza Cuf wangemtaka m/kiti wa Zec atengue kauli yake na baada ya hapo ndio kuwe na subra ya nan atatangazwa kama mshindi!!!
  10. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    RIP Kamanda Mtoi!! Harakati zako za ukombozi tutazienzi!!!!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

    Kuna vikao muhimu vya chama wiki hii Sasa katibu mkuu wa chama kuwa likizo ktk kipndi hiki ni ishara ya kutotaka kushiriki hivyo vikao au Ndio alivyoamua kupumzka kipnd hiki!!? Ni vizur kama hayo aliyosema mh Mbowe yakabaki hivyo na kusiwe na agenda nyingine ya siri kwa mh Dr Slaa kwan watawapa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya mabadiliko Tume ya Uchaguzi (NEC) Pia ateua Majaji

    haya Ndio matatizo ya kutokuwa na tume huru ya uchaguz... Ila tujitahidini kupata wabunge wengi wa ukawa huenda ikawa chachu ya kuleta mabadiliko ktk bunge lijalo na kupelekea kupata katiba mpya ambayo itaondoa madaraka makubwa ya rais.
  13. T

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Sitoshiriki vikao vya Bunge vilivyobaki

    watz bado tunasafari ndefu maana cjaona walicho kosea wapinzani bali nimeona kanuni zikivunjwa ili kulazmisha mambo!! Hii nchi bado sana
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani ni kweli wanatetea maslahi ya Taifa au wana Agenda zao za siri?

    Nawaunga mkono wanaotetea maslah ya taifa kwa nia ya. dhati na sio unafki. Kwa nn kuna uharaka wa usomwaji wa hiyo miswaada!!? Kwa nn hapatotewi uwigo mpana wa kuijadili hiyo miswada!!?
Back
Top Bottom