Recent content by The Vergams

  1. T

    Nimeshindwa kujizuia kwa wamama watu wazima

    Yani sio poa kabisa Kuna muda unamaliza kupiga badae unajilaani 🥹
  2. T

    Nimeshindwa kujizuia kwa wamama watu wazima

    Sawa mkuu tufanye umeshinda
  3. T

    Nimeshindwa kujizuia kwa wamama watu wazima

    Wadau habari za muda Mimi Sina mengi ya kusekma hapa lakini kuna ili moja naombeni ushauri wenu. Kiukweli Mimi nimekuwa muanga wa kuwapenda wamama watu wazima na hili ni kwasababu nilianza kufanya mapenzi na mwanamke aliyekuwa ananizidi kama miaka 20 hivi sasa toka kipindi hicho naona kama...
  4. T

    Ninalazimishwa kuwa na mahusiano na Mwanamke anayenizidi umri ili anipatie kazi

    Wadau habari ya muda Mimi ni kijana wa miaka 24 Niko hapa kuomba ushauri wenu na mawazo pia. Kimuonekano Mimi ni mrefu Nina urefu wa cm 187 pia Mimi ni mkimya sasa baada ya kumaliza masomo yangu nimerudi nyumbani kwanza ili kuweka Mambo yangu sawa sasa Kuna mama mmoja ana cheo serekalini na...
Back
Top Bottom