Recent content by The Untouchable

  1. T

    Msaada: PC inapoandika window is not genuine

    Wadau naomba mnisaidie....nikiwasha pc yangu napata ujumbe kwmba window is not genuine...na kila mara napokea notification hiyo....nisaidien wakuu ili kutatua tatizo hili. Natanguliza shukran zangu
  2. T

    Nyuzi muhimu za mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi Jamvini

    Kuna mada ilkua inasema..msaada:computer inaposema window is not genuine....ilielezewa kwa uzuri sana na wadau....nakuomba uiweke hapa mkuu maana nimeitafuta bila mafanikio yoyote!!
Back
Top Bottom