Mimi ni mwanaume mwenye miaka41, nipo mzima kiafya na ni mcha MUNGU.
Niliwahi kuleta Uzi humu kuhusu kupata shida ya kupata mke sahihi, nilikuwa napata wapitaji. Sasa juzi, Kuna ushahidi nimeupata (recorded) mtu alienilea tangu mtoto, anasema, Mimi sitaoa au kuwa na familia maisha yangu yote...