kwa nini mnamshikilia dereva boda boda ambaye hata hakujua waliomkodi wanaenda kufanya nini kanisani na huku mnamtaja jina huku hao raia 4 wa saudi Arabia mnawaacha?
Hapo hata mie nilishangaa sana unawezaje kumuhukumu mtu wakati kanuni haipo halafu unaitunga baada ya adhabu? ikifika wakati wa kutungiana kanuni kwa lengo kumkomoa mtu fulani au kuua nguvu ya chama fulani sio balaa jamani!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.