Recent content by The Student

  1. T

    SoC04 Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuwa na mahusiano mazuri na Raia kwa masilai makubwa ya usalama wa taifa miaka ijayo

    Katika jamii kote ulimwenguni, uhusiano kati ya raia na vikosi vya usalama una umuhimu mkubwa sana kwa masilai makubwa ya usalama wa taifa. Ni mwingiliano unaobadilika unaounda muundo wa uthabiti, ustawi na hali ya usalama ya taifa. Kiini cha uhusiano huu kuna dhana ya urafiki ambayo mara...
  2. T

    SoC04 Aina ya Viongozi, Wafanyakazi na Raia wa Kuipaisha Tanzania na Kuwa Kitovu cha Uchumi wa Africa Ndani ya Miaka 15

    UTANGULIZI Swali la kuu la kujiuliza ni kuwa , Tanzania imekuwa na vizazi vingi tangu ilipojipatia Uhuru mwaka 1961 na kumekuwa na awamu takribani tano za Uongozi, kwanini adi leo hutujaipata Tanzania tunayoitaka na bado tunawaza kuwa na Tanzania tofauti na tuliyo nayo sasa?. Mipango...
  3. T

    SoC04 Hela ya kujikimu kwa wanachuo itolowe kila mwezi badala ya kila baada ya miezi 2

    Wanafunzi wengi wanapojiunga na Elimu ya Juu wamekuwa wakinufaika na ada, ela ya kujikimu, utafiti n.k. inayotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ili kuweza kuwawezesha kukamilisha masomo yao. Napenda kuipongeza Serkali kwa kuongeza kiwango cha ela ya kujikimu kufikia shilingi 10000/= kwa...
Back
Top Bottom