Recent content by The Six Triple Eight

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu. Haya ni maisha yangu

    PART TWO................... Nitajitaidi angalau kwa leo ni post Sehemu hii ya pili tu kwani kwa sasa niko na majukumu ya ofisi mengi! Tuendelee!!! . . Huu ndio ulikuwa Mwanzo wa ukaribu wangu na Malaika huyu wa duniani. Kwa Semester ile tulimalizia discussion na maandalizi ya UE kwa pamoja...
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu. Haya ni maisha yangu

    Majina yangu ni Johannes Ignatius Rwebangira, mzaliwa wa kijiji cha Bisheke, Kata ya Mubunda, Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera. Baba na Mama yangu wote wakiwa wazawa wa kijiji hiki pia, hivyo hapa ni nyumbani. Mwaka 1994, nikiwa na umri wa miaka miwili (2), ndipo safari ya hadithi ya maisha yangu...
Back
Top Bottom