Recent content by The Phylosopher

  1. T

    JamiiForums Tanzania Makonda asipotoshe umma, kwa mujibu wa biblia kiongozi wa dini hawapaswi kunyamazia maovu bila kujali kayatenda nani!.

    Namuona waziri wa michezo ndugu makonda amekomaa kutoa matamko eti Viongozi wa dini hawapaswi kuikosoa serikali bali kuiombea. Kama wana haki ya kuisifia lazima pia wawe na haki ya kuikemea inapofanya vibaya. Kuwa serikali haina maana kwamba mtapatia kila kitu na kukosolewa na kiongozi wa dini...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Dr Samia na Rais Mwinyi ni wazanzibari wakikutana kujadili maslahi ya muungano Tanganyika anatetewa na nani!?

    Naibu waziri elimu Waziri wa muungano na mazingira
  3. T

    JamiiForums Tanzania Dr Samia na Rais Mwinyi ni wazanzibari wakikutana kujadili maslahi ya muungano Tanganyika anatetewa na nani!?

    Kwa hiyo kumbe hii wenzetu mmeuteka kuwa mjadala wa kidini Wala sio ishu ya maslahi tena?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Dr Samia na Rais Mwinyi ni wazanzibari wakikutana kujadili maslahi ya muungano Tanganyika anatetewa na nani!?

    Watu walianza kupinga huu muungano toka enzi za Nyerere we umekalia mambo yako ya kidini hayana kichwa wala miguu
  5. T

    JamiiForums Tanzania Dr Samia na Rais Mwinyi ni wazanzibari wakikutana kujadili maslahi ya muungano Tanganyika anatetewa na nani!?

    Hizi chuki za kidini zitakuharibu hapa tunataka kila mtu akaongoze kwao na hatuongei haya kwa kuwa ni Samia tunaihoji katiba kwani Samia sie aliyetunga katiba kwa hiyo acha mihemko ya kidini
  6. T

    JamiiForums Tanzania Dr Samia na Rais Mwinyi ni wazanzibari wakikutana kujadili maslahi ya muungano Tanganyika anatetewa na nani!?

    We jamaa udini umekukula ubongo wote kwa hiyo wewe unaona kila anayeitaka Tanganyika sio muisilamu Tunataka Tanganyika yetu iwepo iwe na rais wake na bunge lake na Zanzibar iwepo Kisha tuwe na serikali ya shirikisho ukupe wa Zanzibar hatuutaki
  7. T

    JamiiForums Tanzania Dr Samia na Rais Mwinyi ni wazanzibari wakikutana kujadili maslahi ya muungano Tanganyika anatetewa na nani!?

    Yaani hoja zako zinawaza dini dini tu ndo maana unashindwa kutengeneza logic
  8. T

    JamiiForums Tanzania Dr Samia na Rais Mwinyi ni wazanzibari wakikutana kujadili maslahi ya muungano Tanganyika anatetewa na nani!?

    Kwa hiyo nikitaja majina ya hao ndo Tanganyika itapata haki zake za kuacha kutawaliwa na Zanzibar?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Dr Samia na Rais Mwinyi ni wazanzibari wakikutana kujadili maslahi ya muungano Tanganyika anatetewa na nani!?

    Mbona unahamisha magoli we bila shaka ni mzanzibari mnufaika ndo maana una kauli za shombo kweli lkn ingekuwa mtanganyika kwakweli ungesutwa na nafsi
  10. T

    JamiiForums Tanzania Dr Samia na Rais Mwinyi ni wazanzibari wakikutana kujadili maslahi ya muungano Tanganyika anatetewa na nani!?

    Kwa hiyo wale wazanzibari wanaotaka mamlaka kamili huwa wanatumwa na kanisa na g 55 walitumwa na kanisa? Unapokuwa chawa jaribu kuwa na aibu japo kidogo
  11. T

    JamiiForums Tanzania Dr Samia na Rais Mwinyi ni wazanzibari wakikutana kujadili maslahi ya muungano Tanganyika anatetewa na nani!?

    Matanganyika yasipoamka tutakuta Tanganyika imetawaliwa na Zanzibar na vile Tanganyika ilikufa ndo kabisa
  12. T

    JamiiForums Tanzania Dr Samia na Rais Mwinyi ni wazanzibari wakikutana kujadili maslahi ya muungano Tanganyika anatetewa na nani!?

    Kama unachuki na kanisa basi nadhani zitakuuma mpaka ukome maana hoja za kudai maslahi ya muungano zipo Zanzibar sana sasa kwa nn kusiwe na Tanganyika ili zikutane katikati
  13. T

    JamiiForums Tanzania Dr Samia na Rais Mwinyi ni wazanzibari wakikutana kujadili maslahi ya muungano Tanganyika anatetewa na nani!?

    Sisi hatukuwapa tuna matatizo makubwa sana ya kikatiba na tatizo kubwa zaidi ni unafiki ndani ya ccm. Yaani huwa ccm linapohisika suala la ulaji wako tayari kufanya lolote hata kama ni kuuza nchi watauza
  14. T

    JamiiForums Tanzania Dr Samia na Rais Mwinyi ni wazanzibari wakikutana kujadili maslahi ya muungano Tanganyika anatetewa na nani!?

    Sio mawazo ya kibaguzi hakuna mtu anabaguliwa ila kila mtu akaongoze kwao kama tunasema n nchi Moja kwa nn Zanzibar ipo
Back
Top Bottom