Of course hata mimi sioni haja ya watu kuanza kufight kuhusu kiwango cha Elimu probably DEGREE and Form Four Education is just a piece of Paper but real Education ya mtu tunaijudge the way behaviour yake ilivyo na jinsi gani inamnufaisha hiyo elimu kuna watu wana degree but kiuhalisia ni empty...
Hakuna kitu kama hiko hata under normal Circumstances hii issue mbona haiingiliani na mambo ya Vyama Vya Siasa sema ni watu wameshajawa na hofu za kukariri matukio ambaya huenda hayako sambamba na hii ishu nzima ya Sensa labda wangekuwa hawaja-announce hizo Vacancy Public tungesema yeah...
Watajuaje kama wewe ni CCM kupitia hayo maombi mbona kama sikuona sehemu iliyotakiwa uatachi kielelezo ama kadi ya utambulisho wa Chama chako Cha siasa au mchakato upoje hapo...zama kinagaubaga tuelewe....
Kamisaa wa Sensa Anna Makinda, amesema baadhi ya Watanzania wanapenda uongo kutokana na maneno ya uzushi yanayozagaa mitandaoni kwamba majina ya wasimamizi wa sensa hayatoki kwa sababu wameweka watoto wao, na kusema majina yakitoka waombaji wote wenye sifa watachukuliwa.
Kauli hiyo ameitoa hii...
Vigezo walivyotumia kukata majina ya waombaji ni
1. Sahihi ya mwombaji kutowekwa
2. Waombaji kuweka living certificate
3. Sahihi za wadhamini kutowekwa
4. Kutokata sehemu waliyoandika afikiriwe ama asifikiriwe.
5. Kutoweka mhuri wa mtendaji yeyote kata au kijiji.
NB. nenda uangalie copy za...
"Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ilikamilisha taratibu za kupokea maombi ya muda za makarani na wasimamizi wa sensa ya watu na makazi kupitia mfumo wa maombi wa kielectroniki tarehe 19 Mei 2022.
Mchakato huu uko katika hatua mbali mbali za utekelezaji ambapo utakapokamilika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.