Kama hii ni kweli basi itakuwa ni one of the biggest skandali of all time.
Yaani anaskip mkutano mkubwa kama wa IPU kwenda kwenye mazishi ya raia tu wa kawaida tena siyo raia wake ... something is not adding here.
Tanzania ya sasa anything is possible.
Wanaweza kutoa hukumu yeyote wakijua kuwa atakata rufaa. Wanachokifanya na ambacho wamekuwa wanakifanya kwa huu mwaka moja na nusu ni ucheleweshaji tu.
Wao kupanga hukumu tarehe 6 November ni mkakati kwa ajili ya kusoma upepo kwa kile kitakachotokea MO29...
Tatizo la Bongo, mtu akiwa anaswali Msikitini basi anafikiri na yeye ni Mwarabu .... hakubali mtu amseme Mwarabu vibaya hata kama anakosea. Hili tatizo la kuhusisha dini na Waarabu naona linaiharibu sana Tanzana.
Usiseme kwa kutumia nguvu kubwa. Sema kwa kuwashoot na kuwaua .... hatukuona mahali police wakizuia vurugu kwa njia za kawaida na kuonekana wamezidiwa nguvu na raia. Hatukuona mahali police ikikamata hao waandamanaji .... au ndiyo walikuwa wanazuia nyunyunyu na nywi nywi nywi kwa kutumia vitu...
Sasa waksti wansmkamata mwezi wa 4 walijua kuwa kuna mali za umma na watu binafsi zitachomwa moto? Mbona hawakuzuia kama walijua. By the way Lissu na Chadema ndiyo wahusika, mmeamua kumbebesha msalaba eote Lissu siyo.
Anyway, na waliofwatua risasa na walioamulu watu wauawe wako wapi? So ni...
Off course wananchi tayari wana hukumu yao. Ingekuwa ni JURY system .... tayari Lissu anageshatoka.
Heche ahamasishe tu wafuasi wake kwa wingi waende kumpokea Lissu tarehe 6 Nov ili akitoka awhahutubie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.