Recent content by The genuius

  1. T

    JamiiForums Tanzania Polisi asema "Kidumu chama cha mapinduzi" Wakanyaga katiba kwa kufanya siasa wazi wazi

    Ivi naota ama hii ni tz kweli
  2. T

    JamiiForums Tanzania Sakata la RC - DSM ndg Christian Paul Makonda vs Mch. Josephat Gwajima

    Aseee kwel asko ase umemfuta kweli hadi marekani wamishaanza kumfuta daaa
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kesi na. 456 (Jamhuri v JamiiForums): Hukumu yaahirishwa kwa mara ya nne

    Hivi hii serikali mbona chizi sana eti alisema mambo ya richmond epa hatutasikia tena akati CAG Asaad alidai trilion1.5 hazijulikani pale hazina zimeenda wapi
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwana CCM adai mwezi Julai 2020, viongozi wa upinzani hasa Mbowe, Lissu, Zitto, Maalim Seif nk kuhukumiwa vifungo jela na CCM kupita bila kupingwa

    Mkuuu umejitahidi kuleta tetesi ila hizi ni hisia tuuu kwa sasa ccm ni mkusanyiko wa wasaliti kutoka CDM kwaiyo sio mahali salama sanaaa kwa wanaccm pia wao wanajua upinzani tz huwezi kufa tangu tlp nccr sasa CDM na ACT ila kwa hili pigo ni baya sana naweza kabiri miaka10 ya upinzani ndio...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema akipata ubunge Arusha nahama nchi

    Ivi weeee mbangaaa unajua ss machali wa chuga kweli tukipenda lema ni iyo lema hadi heaven
  6. T

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru Ally wa Enzi hizo akizungumzia Katiba Mpya

    Ss watu weusi wengi wetu njaa na madaraka yanatutafuna sana
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hawa watu wawili (2) walizaliwa hapa Tanganyika/Tanzania nyakati zisizo sahihi kwao!

    Lowasa yani kaja kipindi ambacho ukanda na udini ndio siasa ila ananyota yakipekee sana sio pesa zake tuuu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hivi Zitto Kabwe ni Communist?

    Zito ni mwanasiasa mwenye akili nyingi tuuuuu
  9. T

    JamiiForums Tanzania Lema amjibu RPC wa Arusha, amwambia asimfundishe kazi yuko huru kusema chochote kinachowakabiri wananchi hata nyumbani kwake anaweza kwenda kusemea

    Kyakyakya Kyakyakya acheni jembe letu la chuga chuga mtaisikia kwnye bomba
  10. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wafanyabiashara wa Mwanza wanaotokea Tarime Vijijini wamkataa Waitara

    Kama msigwa vile heche anapita fyaaaa
  11. T

    JamiiForums Tanzania Lema amjibu RPC wa Arusha, amwambia asimfundishe kazi yuko huru kusema chochote kinachowakabiri wananchi hata nyumbani kwake anaweza kwenda kusemea

    Uzalendo kukaa kimiya. Aina mpya ya uzalendo nn Daaaaa polis sema ccm oyeeeee daaaa ukolomije kila kona ya nchi tunakukumbuka jk aseee
  12. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amchenjia Makonda?

    Kyakyakya Kyakyakya alafu pembeni wakina lugola wana toa mimacho tuuu
Back
Top Bottom