Recent content by The Genius Tz

  1. T

    JamiiForums Tanzania Watumishi kama hawa ndio wanaopaswa kuzingatiwa katika fursa mbalimbali kama Motisha

    Walimu wapo vizuri sana kwenye kuweka wanafunzi kuwa na nidhamu, Mimi nimemaliza pale pia. Kuna mwalimu tulikuwa tunamwita ndugu Binti alikuwa mtaaluma, na mwalimu mwingine peter wa language. Hao walimu kuja kuwaamsha bwenini saa 11 na fimbo muende darasani mkasome ilikuwa ni kitu Cha kawaida...
  2. T

    JamiiForums Tanzania MFTE ni Ponzi scheme, utapeli ulijificha kwenye kichaka cha forex trading

    Vijana tuna haraka ya mafanikio. Kulikuwa na D9, Atlantic, Qnet Leo vipo wapi. Long-term sio mchezo mzuri kabisa
Back
Top Bottom