Mkuu ulikua mchoyo wa mawazo kwa mkeo... Kwa story yako mkeo nampa big thumb ni jembe kulikoni, kutoka failure hadi ualimu si mchezo... Pili haukuwekeza vya kutosha kwake, haukuwahi kukopa na kumjaribu kama anaweza ila kwa mchepuko ulithubutu. Jipange na jiongeze, huyo ni mkeo na anahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.