Recent content by The comeback maestro

  1. T

    Tatizo la kununua luku

    Habarini za mchana wana JF, Hivi ni mimi peke yangu napata shida ya kununua umeme au ni tatizo na kwa wengine? Nimekuwa nikihangaika kununua umeme tangu asubuhi lakini naambiwa mpokeaji amefungiwa (Airtel) na muamala wako haukukamilika (Tigo). Msaada tafadhali kwa mwenye kufahamu juu ya hilo...
  2. T

    Msaada Tiba ya maumbile madogo

    Jamani ndugu zangu wana JF! Mimi ni muhanga wa maumbile madogo, pengine ni sababu ya life style yangu wakati wa ukuaji (nazungumzia kujichua sana) kwa sasa nina miaka 26 lakini maumbile yangu ni madogo mpka naona aibu hata kuwa na mahusiano, msaada kwa yeyote anaefahamu suluhisho.
Back
Top Bottom