Recent content by The Captain09

  1. The Captain09

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Hapo makutu wamepima kama msata ila majibu ya vipimo bado na pia wa makutu watapelekwa msata na nadhani majibu ya vipimo yatarudi kwa pamoja(makutu + msata) na walio na shida ndo watasomwa UNFIT. Then wanaobaki ndo watapiga kozi.
  2. The Captain09

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Ndo walianza kufanya week hii nadhani watamaliza week hii.
  3. The Captain09

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Mwambie akupe kibali kinachoonyesha kuwa wewe umetoka makao makuu na umeambiwa uende chuoni direct mbali na hapo utatupa nauli yako tu.
  4. The Captain09

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Wewe umepita oljoro jkt ila usiseme unalijua jeshi acha maneno mengi kaa tulia kijana.
  5. The Captain09

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Acha siasa kijana kwahyo hao wakujitolea wote wanakuaga Familia za kijeshi au😅😅....yani k2 kama hakijawa ridhiki yako basi lazima kiwe kigumu ila siku ikifikia Ata iweje lazima uzame chombon.
  6. The Captain09

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Huyo kajipigia mwenyewe😂😂😂
  7. The Captain09

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Ana fani hadimu au ni level ya 4m 4 na 6?
  8. The Captain09

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Aliambiwa aripot kuanzia lin?
  9. The Captain09

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Official namba za serikali
  10. The Captain09

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Op miaka 60 ya muungano wameanza usahili wa jwtz huko vikosin tutegemee bogi mbili.
  11. The Captain09

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Yah bora ukweli unaoumiza kuliko uongo unaofariji.
  12. The Captain09

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Hayo maneno yako tu watu wanaingia msata Ata siku 1 kabla ya kozi na wengine kozi ishaanza kabisaa inategemea una nani nyuma yako....Afu issue ya hao walioitwa mpaka sahv usitegemee ety kisa ulipeleka au ulituma maombi ndo utaitwa hiko kitu sahau yani hao wote walioitwa ni watu wenye mbanga na...
  13. The Captain09

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    😂😂😂😂
  14. The Captain09

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Sidhani na Ata kama itakuwa hvyo nakushauri usitume kama huna mbanga.
  15. The Captain09

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    MAJINA YA POLISI
Back
Top Bottom