Kumbe walishiriki ni wanawake uwenda ndiyo maana shambulio lao(Israel) linaliitwa kulipa kisasi limekuwa la uoga na unyonge uku wakipiga kelele hovyo kuficha haibu kubwa waliopata kwenye mifumo yao iron dome David string na allow 3 kulala usingizi wakati wa makombola ya Iran yakimwagika
Hakika mkuu tumeingopewa miaka mingi sana juu ya uwezo wa Israel kuizidi ety mpaka USA, NATO, Russia kwamba hao wote ni takataka mbele ya ilo taifa la wateule Israel what level of stupidity yaan umzidi mtu anayekuweka mjini(USA) kwa hali hii ninamashaka na ukweli juu Six day war
Nani kakwambia Mimi ni muisilamu na umeona wapi nimeweka udini yangu hapo Mimi Sio mfia dini hizo za kizombi za western na Arabian Mimi nimependa facts ila wewe kwasababu ni popoma na upo unga kichwani unaleta dini ili kuuwa hoja zangu makini NB: MIMI SIO MFIA DINI leta hoja
Pili shambulio la...
Shambulio lipi ndiyo au unazungumzia ilo shambulio la kiuoga kusave Netanyahu face kwa Dunia sasa kama shambulio la kulipa kisasi cha makombola 200 na kuhalibiwa ndege zako za kisasa F35 ndiyo lile la kiuoga kuna haja gani ya Iran kuwa na wasiwasi hakuna miundombinu yoyote iliyohaliniwa si...
Hajabu ni nini hapo Kwaiyo hao watoto wa kike walizibeba hizo ndege kwenye mapaja yao mbona hata Iran kuna wanawake kwenye mifumo ya Air defense na jeshi la kawaida na la anga na kuhusu ilo shambulio mbona inatumika nguvu kubwa sana huku ikiwa hakuna hata video moja clear kama kule Israel...
Mbona hatukayaona hayo mashambulizi kama yale ya missiles 200 zilizotua kama mvua uko Israel Navitm airbases ambayo ilipigwa na picha za satellite zikionesha impact on ground
Ushahidi wa hicho kiwanda ukwapi na kwakawaida nchi nzima ya Iran ina underground storage ya missiles hawategemei upungufu wa makombola wakati hawana vita brother Mimi mwenyewe nilikuwa muhanga wa kuamini Israel ni invisible Russia ni invisible kumbe kwasasa unachapika no matter wewe nani hakuna...
Au Mimi sipo online miaka lini hiyo Iran kapigwa kama ni kurushiana ngumi Vip yale makombola yote yalikua yanatua Kama mvua uko Israel? Kweli itikadi za ukristo na uislam ni mzigo bora tuwe na Africa religion zetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.