Recent content by THE BRAINER

  1. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenu wadau wenye uzoefu na Financial entities

    Habari zenu wadau wa Uchumi na Biashara. Nina wazo la kutaka kuwekeza Fedha kwenye Financial Entities. Je Kuna ukweli kuwa zipo Bank zenye interest kubwa kidogo kuliko UTT? Naomba ushauri na mawazo mazuri zaidi kwa wenye uzoefu mkubwa, Nawasilisha.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwenu wadau wenye uzoefu

    Habari zenu wadau. Hivi ni Bank gani ina toa riba nzuri pale mtu anapoweka pesa Kwa lengo la kupata faida. Je Kuna ukweli kuwa ECO Bank Wana riba kubwa kuzidi UTT?? Naomba mawazo yenu, maana nipo kwenye process ya kuanza uwekezaji mdogo kwenye hizi Financial Entities. Nawasilisha Ahsante.
Back
Top Bottom