Recent content by The Boss In Town

  1. T

    Naomba ushauri: Binti amenidhalilisha sana

    Sawa mkuu ila mimi ni Boss wa mji tu wewe si wa nchi mkuu
  2. T

    Naomba ushauri: Binti amenidhalilisha sana

    Salaam wakuu. Mimi ni mgeni Jamii Forums ila hiki kisa kimefanya nije huku,naona niandike hapa angalau nipunguze hasira zangu.Kuna binti ni mdogo wake na shemeji yangu ambaye amekuja hivi karibuni kwa kaka yangu ambapo na mimi nakaa kwa muda maana nipo Mwanza kikazi hivyo kaka akasema sio vyema...
Back
Top Bottom