Recent content by the A

  1. T

    Magari ya Nissan

    Wataalam wanasema hakikisha unatumia spare original kwa Nissan je nitajuaje kama hii ni original? Kwa mfano oil filter ziko nyingi zimeandikwa Nissan genuine spare lakini ni feki. Na muuzaji anaweza kuweka bei juu ili kukuingiza maboya akasema ni original
Back
Top Bottom