Bro, wanangu ma Dr. wako Kairuki, Bugando, Mloganzila hamna ishu...
Kama huja specialise (masters ya miaka almost 3, hapo ndo paka iyo ada uwenayo?,
kumbuka tayari una deni la undergraduate la Tsh. 30 million) hakuna kitu,na hata ukispecialise lazima ufanye atleast hospitali mbili ndo...