Recent content by Thamani halisi

  1. T

    Natafuta soko la asali mbichi ya tabora

    Nnatafuta soko la asali mbichi ya nyuki wakubwa.nauza sh180000/= kwa dumu la lita 20. Nina madumu 30 na bado nina uwezo wa kupata mengine kama yanahitajika. Kwa anayelifahamu soko tafadhali anicheki kwa 0752675368
  2. T

    Asali Mbichi Toka Tabora inauzwa,

    Kwa anayehitaji. Au anafahamu soko lilipo anitafute kwa 0752675368.
  3. T

    Asali Mbichi Toka Tabora inauzwa,

    Nina asali mbichi ya nyuki wakubwa kutoka Tabora. Natafuta wateja wa jumla .nauza kwa dumu la 20 lita sh180000/= ipo mpanda
Back
Top Bottom