Kama ilileta shida hapo UdSM inaeleweka kunyimwa ruhusa lakini Kijitonyama kuna makazi gani ya watu ambao watasumbuliwa na hawa nyama choma tayari walishafanya pale
Ni uonevu usiokua na msingi kama wameamua kukataa events basi wakatae zote sio kuruhusu sijui Instagram Party hapo kijitonyama na kuwanyima hawa nyama choma wote ni vijana wanaopambana
Si afadhali nyama choma ni tamasha la chakula hao instagram nini sijui wana mantiki gani kwenye party yao...
Katika biashara yoyote consistency ni muhimu na adui akitaka kukutia doa akuvurugie mlolongo wa biashara yako
Tuliwahi kuletewa pachiko la barua humu ya kupigwa marufuku nyama choma festival pale UDSM maoni ya wengi yalikua tamasha ni kubwa sana na lilileta tafrani kwa jamii ya chuo kikuu...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.