Kwa hiyo hoja yako unataka wawakilishi wa dini nao wangetoka nje ya bunge kususia kikao kama UKAWA? Ndiyo unataka kutushawishi tuamini kama ndiyo ungekuwa uamuzi sahihi? Kumbuka lile bunge lilitekqa na wanasiasa, ambao waliingia bungeni kujitengenezea ma shavu. kenya walikubaliana kuwa wale wote...
Galia TBC ni wale ambao wamesoma kwa pesa za wizi wa kodi za masikini, kwa hiyo akiwa nyumbani anaishi ki Imla. Kila kitu Kada ambaye ndo baba anapanga. TBC nayo ni TV kweli?
Hata kama umesomeshwa kwa kulipiwa na chama chako, na hata kama babako ni kada na hata kama bila Chama chako wewe ni sawa na msukule, lakini kweli unawezaje kusema Escrow siyo wizi? Una akili timamu ndg? Kama siyo wizi ni nini? Hata kama babako kapata mgao wake pia lakini tu ni hekma kukaa kimya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.