Recent content by Tetra fino

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ulijiachia na Ukafaidi Starehe Mwenyewe, Leo unaleta usumbufu

    Mnawasimanga sana hao single Maza lakini haisaidii kila uchwao wanazidi kuongezeka mitaani,tafuteni namna nzuri tu ya kuwasaidia kuliko kuwadhalilisha kiasi hiki
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani nzuri naweza kuishi na mama mzazi asiyeniheshimu?

    Wanao lakini nao pia maisha yao magumu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani nzuri naweza kuishi na mama mzazi asiyeniheshimu?

    Unataka kusikia na upande upi mwingine
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani nzuri naweza kuishi na mama mzazi asiyeniheshimu?

    Pesa ya kumpa ndo sina sasa
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani nzuri naweza kuishi na mama mzazi asiyeniheshimu?

    Apo nikiondoka ndo anaweza nilaani kabisa,wadada wa kazi hawezi hata kukaa nao wanashimdwa mstahimili
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani nzuri naweza kuishi na mama mzazi asiyeniheshimu?

    Nafanya biashara ndogo ndogo,hata hvyo Bado haijakua
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani nzuri naweza kuishi na mama mzazi asiyeniheshimu?

    Sio kwamba nmeshindwa kutoka ila hataki nitoke sababu anahitaji uangalizi
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani nzuri naweza kuishi na mama mzazi asiyeniheshimu?

    Kodi hawezi nil Anajitegemea anapoweza akishindwa Sasa ndo inabidi atutegemee huku nyumbani
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani nzuri naweza kuishi na mama mzazi asiyeniheshimu?

    Nimekuelewa mkuu nitalifanyia kazi shukurani sana kwa mchango wako
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani nzuri naweza kuishi na mama mzazi asiyeniheshimu?

    Najua hlo ,ila unatumia maneno magumu sana
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani nzuri naweza kuishi na mama mzazi asiyeniheshimu?

    Miaka 50 hawasumbui
Back
Top Bottom