Recent content by Teshawa

  1. T

    Dr. Mwakyembe: Marufuku TV na Radio kusoma habari za magazetini kwa ujumla wake

    Na kweli mkuu waache kabisa kuyasoma tuone huyo aliyeishiwa.ya kufanya atakuja na lipi.
  2. T

    MSUMBIJI: Mwanamke wa Kitanzania abakwa mpaka kufa. Serikali imefungwa plasta?

    yeye kaeleza kwa namna yake hivyo ujumbe umefika na mtu akihitaji majina sijui na nini?? aende tu naye akafanye research
  3. T

    MSUMBIJI: Mwanamke wa Kitanzania abakwa mpaka kufa. Serikali imefungwa plasta?

    ndiyo njia sahihi mkuu hakuna namna nyingine coz hakuna kiongozi anayeinekana kulishughulikia kidiplosia.
  4. T

    Wakili Kibatala ahoji mamlaka ya Waziri Mwakyembe kuifuta Tanganyika Law Society(TLS)

    Yaani lisu kugombea tuu wengine wameanza kuhara hahahaaa yaani eti kuna watu hawalali,wanatamani Ardhi ipasuke aisee lisu anadhihirisha kuwa nu mkali na anatisha na mungu yupo atashinda dadeki zao.
  5. T

    Tundu Antipasi Lissu apitishwa rasmi kuwania nafasi ya urais Tanganyika Law Society!

    hahahaa jecha tena mmmh! kwa hili mkulu kazi anayo
  6. T

    Tundu Antipasi Lissu apitishwa rasmi kuwania nafasi ya urais Tanganyika Law Society!

    Nahisi watawaingiza mamluki tehe kama uchaguzi wa mameya wa jiji hahahaaa watashikwa pabaya saaana ila mungu msimamie ashinde
  7. T

    Rais Magufuli amteua William Sianga, kuwa Kamishna mkuu wa kupambana na kuzuia Madawa ya Kulevya

    hawa jamaa wa ngada wako flexible sana mkuu siyo wa mchezo mchezo kiivo aisee naamini govt itakaza ila watabadili tu mfumo mfano tuu si tz tuu tunapiga vita hii kitu ila kuna nchi zipo vizuri kiteknolojia ila wanashindwa kuzuia kwa 100% mkuu so hii vita si ya siku mbili tatu.
  8. T

    Kamanda Sirro: Hadi sasa wameripoti wanne tu, ambao hawajaripoti tutawatafuta

    mmh..sidhani kama kapelekewa coz naamini angepelekewa angeitikia wito mkuu hii movie si ya kitoto ila kwa mimi sioni mafanikio ya aina yoyote zaidi ya kuchafuana tuu hii vita haiendi popote coz ni ishu ya kijeshi na operation maalum tena ya kimya kimya hahaaa sasa ukinitangazia vita na kuniambia...
  9. T

    Manji kuwasili polisi nje ya utaratibu ni ukaidi; ajiandae kulala sero

    mkuu mbona kama manji anakukera saaana?? punguza hasira
  10. T

    Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    hapo ni mwendo wa kutajana hadi kieleweke coz chid akitaja mmoja tuu kwisha habari
  11. T

    Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    Hivi yule msanii aliyesemekana kashikwa china akiwa na sembe wakiwa na yule kijana wa mkulu aliyemaliza muda wake vepeeee?? na mtoto wa mkulu mstaafu vepeeee?? ila huyu si swaiba wa kufa na kuzikana wa mkulu wa mkoa??? Tehe
  12. T

    Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    Tehe.. hayupo mbali mpe siku mbili tuu utamsikia coz wale maafande si wamewajibishwa kidogo wakati uchunguzi unaendelea???Aibu tupu
  13. T

    Dawa za Kulevya: Nape aasa "Tusiwahukumu watu kwa Tuhuma, kubomoa brand ya mtu/taasisi ni sekunde"

    unafikiri hajafanya uchunguzi? hajakurukupa yuko vizuri sn makonda mtamuelewa tuu muda si muda.nape akae tuu kimya hana jipya wala busara hana
Back
Top Bottom